Mkurugenzi wa Programu Michael Maluwe kutoka Kampuni ya Grassroots Sports and Events kushoto akimkabidhi Cheti cha Shukurani Meneja Huduma kwa Jamii kutoka NHC Muungano Saguya Huku mmoja wa maofisa wa NHC Bi. Evarista Malya akishuhudia tukio hilo katika hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu Ilala mapema wiki iliyopita
Baadhi ya Vijana kutoka katika Shule za Jitegeme, Lord Baden Powell ya Bagamoyo pamoja na timu ya Ilala Flats ambao walioshiriki katika Ufunguzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu Ilala Boma yalipo Mkazi ya watu wanaoishi katika Nyumba za Shirika la Nyumba (NHC) wakiwa katika mafunzo ya siku moja ikiwa ni sehemu ya sherehe hizo
Baadhi ya Vijana kutoka katika Shule za Jitegeme, Lord Baden Powell ya Bagamoyo pamoja na timu ya Ilala Flats ambao walioshiriki katika Ufunguzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu Ilala Boma yalipo Mkazi ya watu wanaoishi katika Nyumba za Shirika la Nyumba (NHC) wakiwa katika mafunzo ya siku moja ikiwa ni sehemu ya sherehe hizo
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania kwa Wanaume Evarist Mapunda ambaye pia ni kocha wa timu ya Pazi akiwa katika darasa la Mafunzo kwa Vijana walioshiriki uzinduzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu Ilala Boma hafla hiyo ilipambwa na shule ya Lord Baden Powell ya Bagamoyo,Jitegemee Secondary School pamoja na watoto wanaoishi katika Flats hizo za Ilala.
Julius Charles mwenye umri wa mika 19 mchezaji wa shule ya lord Baden Powell akiwa na urefu wa 7.3 anasoma kidato cha tatu akiwa na Baadhi ya Vijana kutoka katika Shule za Jitegeme, Lord Baden Powell ya Bagamoyo pamoja na timu ya Ilala Flats ambao walioshiriki katika Ufunguzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu Ilala Boma yalipo Mkazi ya watu wanaoishi katika Nyumba za Shirika la Nyumba (NHC) wakiwa katika mafunzo ya siku moja ikiwa ni sehemu ya sherehe hizo
Naodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Lusajo Samwel akimsaidia kocha Evarist Mapunda kocha wa Timu ya Taifa wakitoa Mafunzo kwa watoto wanaoishi katika Flats za Ilala katika hafla ya uzinduzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu vijana hao wanafundishwa na Liana Mbaga katika siku za kawaida
Katika Uzinduzi wa Uwanja huu pia Wasichana walishiriki vilivyo kupata mafunzo ya mpira wa Kikapu hawa ni baadhi ya wachezaji kutoka katika Shule za Jitegemee na Lord Baden powell
Maafisa wa NHC wakiwa na wakazi wa Ilala Flats pamoja na watoto wanaoishi katika Makazi hayo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Meneya wa NHC kanda ya Ilala kufungua rasmi uwanja wa Mpira wa Kikapu uliojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa.
Meneja wa NHC kanda ya
Ilala Jackoson Maagi akiongea na Vijana pamoja na wakazi wa Ilala Magorofani
katika Tamasha la Ufunguzi wa Uwanja wa mpira wa Kikapu Uliofanyika siku ya
jumamosi tarehe 18/10/2014 Tamasha hilo lilifanyika katika uwanja huo yalipo
Makazi ya wapangaji wa NHC na Kuratibiwa na Taasisi ya Michezo ya Grassroots
Sports and Events.
Liana Mbaga aka (Jigga) akiwa na Giovan Makassy aka.(Nguvu) wakiwa wanashauriana jambo kabla ya mchezo kati ya Ilala Flats na Lord Baden Powell haujaanza ikiwa ni moja ya sehemu ya Hafla ya Ufunguzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu Ilala.
Vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa kutoka Ilala Magorofani wakiwa katika Hafla ya Ufunguzi wa Uwanja wa Mpira wa Kikapu wakiongozwa na Mkurugenzi wa White Corner Pub Francis Cassidy (Chichi),Amosa Gelege (Banga), kheri kheri (Mpemba) Cristopher Leonard (Trigga the MC) na Omary Lyimo.
No comments:
Post a Comment