INTER CLUB DUME CUP
23rd August To 01st Sept 2013 -
DAR ES SALAAM
DATE
|
G.NO
|
TIME
|
TEAMS Vs TEAMS
|
GRP
|
Q1
|
Q2
|
Q3
|
Q4
|
FINAL
|
|
24/08/2013
|
01
|
04 :00PM
|
OILERS
|
CHUI
|
A
|
|||||
SATURDAY
|
02
|
06 :00PM
|
PAZI
|
CHAN’G U
|
B
|
|||||
MATOKEO YA DUME
CUP INTER CLUBS
23rd August To 01st Sept 2013 - DAR ES SALAAM
DATE
|
G.NO
|
TIME
|
TEAMS Vs TEAMS
|
GRP
|
Q1
|
Q2
|
Q3
|
Q4
|
FINAL
|
|
23/08/2013
|
01
|
04 :00PM
|
PTW
|
VIJANA
|
A
|
11/28
|
16/23
|
14/20
|
07/23
|
48/94
|
FRIDAY
|
02
|
06 :00PM
|
JKT
|
JOGOO
|
B
|
13/14
|
14/17
|
26/08
|
18/26
|
71/65
|
Wafungaji Kwa timu ya JKT ni Wagungaji kwa Jogoo ni
- Francis Mlewa PTS 24 - Erick Lugora PTS 24
Mchezaji wa Vijana Nathaniel Platto akiwa katika Shooting point huku mchezaji wa PTW akijitahidi kumzuia ,katika Mashindano ya Dume Cup yaliyoa anza jana katika Viwanja vya Shule ya Zanaki Upanga na ambapo timu ya Vijana Waliibuka na ushindi wa PTS 94/48 .
Kikosi cha Timu ya Vijana wakiwa katika picha ya pamoja muda mchache kabla ya kunza mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Dume Cup katika Viwanja vya Zanaki Upanga,Vijana ilishinda kwa kishindo dhidi ya PTW kwa PTS 94/48.
Wafungaji kwa timu ya Vijana ni : Wafungaji kwa timu ya PTW ni:
- Jacob Marenga PTS 19 - Maxwell Mamoya PTS 20
- Nathaniel Platto PTS 16 - Abdalah Khamady PTS 09
kikosi cha timua PTW kikiwa katika picha ya Pamoja muda mchache kabla ya kuanza kwa Shindano la Dume Cup katika Viwanja vya Shule ya Zanaki Upanga,katika mchezo huo PTW ilifungwa na Vijana 94/48
Baadhi ya wachezaji na watazamaji wakiwa katika semina fupi ya jinsi ya kujikinga na Maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) na magonjwa mengine ya ngono na namna ambavyo unaweza kuepuka katika majanga hayo,semina hiyo ilikuwa ikifanyika katika Uwanja wa shule ya Zanaki Upanga ambapo Michuano ya Dume Cup Imeanza.
No comments:
Post a Comment