Mchezaji wa Oilers Lusajo Samwel akifunga kikapu kwa timu ya Oilers katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ndani ya aViwanja vya Zanaki upanga Oilers ilishinda kwa points 75/61timu hizo zitarudiana tena Ijumaa na endapo Oilers atashinda mchezo wa ijumaa atakuwa amekata ticket ya kucheza fainali siku ya Jumapili ,lakini akifungwa na Jogoo basi itawalazimu wachezo nusu fainali ya tatu siku ya jumamosi ili kupata mshindi kamili.
Mchezaji wa Jogoo Emanuel Mwikalo Akichukua Rebound mbele ya wachezaji wa Oilers Pius Seni katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliochezwa katika uwanja wa Zanaki Upanga timu zitarudiana tena Ijumaa 30/08/2013 ikiwa ni nusu fainali ya pili.
Mchezaji wa Vijana akijaribu kumtoka mchezaji wa Jogoo katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ,katika mchezo huo timu ya Oilers ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa points 75/61 nusu fainali ya pili kwa timu hizo utachezwa tena Ijumaa 30/08/2013 katika viwanja vya Zanaki -Upanga.
FIXTURE INTER CLUB DUME CUP
23rd
August To 01st Sept 2013 - DAR ES SALAAM
DATE
|
G.NO
|
TIME
|
TEAMS
|
GPR
|
Q1
|
Q2
|
Q3
|
Q4
|
FINAL
|
|
26/08/2013
|
07
|
04 :00PM
|
JKT
|
PAZI
|
B
|
22/04
|
17/09
|
15/07
|
11/10
|
62/32
|
MONDAY
|
08
|
06 :00PM
|
PTW
|
OILERS
|
A
|
12/22
|
15/19
|
12/15
|
21/33
|
60/89
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
27/08/2013
|
09
|
04 :00PM
|
JOGOO
|
CHAN’G
|
B
|
18/08
|
08/11
|
29/07
|
23/12
|
78/38
|
TUESDAY
|
10
|
06 :00PM
|
VIJANA
|
CHUI
|
A
|
13/15
|
07/21
|
19/13
|
25/28
|
64/77
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
28/08/2013
|
11
|
04 :00PM
|
PTW
|
CHUI
|
A
|
06/22
|
16/15
|
23/22
|
17/29
|
62/88
|
WEDNESDAY
|
12
|
06 :00PM
|
CHAN’G
|
JKT
|
B
|
10/25
|
13/09
|
08/33
|
08/10
|
39/77
|
PLAY OFF / SEMI FINAL (GAME 01)
|
|
|
|
|
|
|
|
|||
29/08/2013
|
13
|
04 :00PM
|
OILERS
|
JOGOO
|
SEMI
|
19/14
|
12/12
|
19/13
|
25/22
|
75/61
|
THURSDAY
|
14
|
06 :00PM
|
JKT
|
CHUI
|
1
|
08/08
|
16/15
|
09/10
|
15/06
|
48/39
|
PLAY OFF / SEMI FINAL (GAME 02)
|
|
|
|
|
|
|
|
|||
FRIDAY
|
14
|
06 :00PM
|
JKT
|
CHUI
|
SEMI
|
|
|
|
|
|
30/08/2013
|
13
|
04 :00PM
|
OILERS
|
JOGOO
|
2
|
|
|
|
|
|
WAFUNGANGAJI WA TIMU OILERS WAFUNGAJI WA TIMU YA JOGOO
MUSSA CHACHA PTS 27
ERICK LUGOLA PTS16
LUSAJO SAMWEL PTS PTS 19 ALI
MKALI PTS 15
WAFUNGANGAJI WA TIMU JKT WAFUNGAJI WA TIMU YA CHUI
ABDALAH JUMA PTS 12
FADHIL
ABDALAH PTS 10
HIMID CHOKA PTS 10 JOSEPH MBOZI PTS 10