Tuesday, August 27, 2013

Michuano ya Dume Cup imepamba moto na kushangaza mashabiki waliofika katika viwanja vya Zanaki baada ya Chui kupoteza matumaini ya timu ya Vijana kucheza nusu fainali itakayo anza kesho, katika mchezo uliomalizika saa mbili usiku kwa timu ya Chui kuibuka na ushindi wa PTS 77/64.Fuatilia matokeo na msimamo wa Dume Cup.


                           FIXTURE INTER CLUB DUME CUP
                          23rd August To 01st Sept 2013 - DAR ES SALAAM
DATE
G.NO
TIME
          TEAMS
GPR
Q1
Q2
Q3
Q4
FINAL
26/08/2013
07
04 :00PM
JKT
PAZI
B
22/04
17/09
15/07
11/10
62/32
MONDAY
08
06 :00PM
PTW
OILERS
A
12/22
15/19
12/15
21/33
60/89











27/08/2013
09
04 :00PM
JOGOO
CHAN’G
B
18/08
08/11
29/07
23/12
78/38
TUESDAY
10
06 :00PM
VIJANA
CHUI
A
13/15
07/21
19/13
25/28
64/77











28/08/2013
11
04 :00PM
PTW
CHUI
A





WEDNESDAY
12
06 :00PM
CHAN’G
JKT
B





PLAY OFF / SEMI FINAL (GAME 01)







29/08/2013
13
04 :00PM
OILERS
JOGOO






THURSDAY
14
06 :00PM
JKT
CHUI


















Matokeo ya michezo ya Jumatano kati ya Chui ambayo ipo kundi (A) watakuwa na mchezo wa mwisho dhidi ya PTW, endapo chui itashinda watakuwa wamekata ticket ya kucheza nusu fainali siku ya Alhamisi dhidi ya JKT, ambayo nayo katika kundi (B) watakuwa na kibarua  dhidi ya Chang'ombe United waliopoteza michezo yote miwili hivyo JKT akishinda atakuwa anaongoza kundi (A) akifuatiwa na Jogoo.

Endapo Chui akifungwa na PTW itapelekea timu tatu kwenye kundi (A) kufikisha points 4 hivyo italazimika kuchagua timu ya kucheza nusu fainali kwa kuangalia magoli ya kufunga na kufungwa hivyo timu ya Vijana itakuwa ikiiombea dua PTW ishinde mchezo wake dhidi ya chui.


WAFUNGANGAJI WA TIMU JOGOO                     WAFUNGAJI WA TIMU YA CHANG’OMBE UNITED
ALI MKALI PTS 26                                                                SALIM SONGORO PTS 08
ERICK LUGOLA PTS 12                                                       KANYOTHA MGAWE PTS 08

WAFUNGANGAJI WA TIMU YA VIJANA                   WAFUNGANGAJI WA TIMU  YA CHUI                    
JACOB MARENGA PTS 22                                                JOSEPH MBOZI PTS 19
BARAKA MOPELA PTS 11                                                DOTTO CHARLES PTS 18

MSIMAMO WA MAKUNDI:
GROUP A.JASIRI
NO
TEAMS
P
W
L
GF
GA
PTS
RANK
1
OILERS
3
3
0
229
198
6
1
2
VIJANA
3
1
2
218
186
4
2
3
CHUI
2
1
1
155
143
3
3
4
PTW
2
0
2
108
183
2
4
GROUP B. SHUJAA
NO
TEAMS
P
W
L
GF
GA
PTS
RANK
1
JKT
2
2
0
135
97
4
2
2
JOGOO
3
2
1
198
157
5
1
3
PAZI
3
1
2
133
167
4
3
4
CHANG’OMBE UNITED
2
0
2
86
131
2
4









No comments:

Post a Comment