Monday, August 26, 2013

Michuano ya Dume Condom inazidi kushika kasi katika viwanja vya Shule ya Zanaki , huku kila timu ikijaribu kutafuta nafasi ya kucheza nusu fainali,fuatilia mtiririko wa matukio ,matokeo pamoja na ratiba ya michezo mingine.

                          FIXTURE  INTER CLUB DUME CUP
                                          23rd August To 01st Sept 2013 - DAR ES SALAAM
DATE
G.NO
TIME
TEAMS Vs TEAMS
                    
GRP
Q1
Q2
Q3
Q4
FINAL
26/08/2013
07
04 :00PM
JKT
PAZI
B
MONDAY
08
06 :00PM
PTW
OILERS
A
27/08/2013
09
04 :00PM
JOGOO
CHAN’G U
B
TUESDAY
10
06 :00PM
VIJANA
CHUI
A












 Mchezaji wa Pazi Cray Bonny akimiliki mpira na kutafuta namna ya kumtoka mchezaji wa Jogoo,katika Michuano ya Dume Cup inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Zanaki,katika mchezo huo PAzi walipoteza mbele ya Vijana wadogo wa Jogoo kwa points 55/48.
                              RESULT  INTER CLUB DUME CUP
                        23rd August To 01st Sept 2013 - DAR ES SALAAM
DATE
G.NO
TIME
TEAMS Vs TEAMS
                    
GRP
Q1
Q2
Q3
Q4
FINAL
25/08/2013
05
04 :00PM
JOGOO
PAZI
B
14/17
13/14
8/4
20/13
55/48
SUNDAY
06
06 :00PM
VIJANA
OILERS
A
19/10
15/14
14/13
12/24
60/61












Wafungaji timu ya Jogoo                                  Wafungaji timu ya Pazi
 Erick Lugola PTS 10                                          Cray Bonny PTS 15
Ali mkali PTS 08                                               Joseph Kisusi PTS 09

Wafungaji timu ya Vijana                                Wafungaji timu ya Oilers
Oscar Oral PTS 14                                             Lusajo Samwel PTS 22
Jacob Marenga PTS 12                                       Mussa Chacha PTS 16

 Mchezaji wa timu ya Jogoo akirusha mitupo mitatu(Three points) katika michuano ya Dume Cup inayoendelea katika viwanja vya Zanaki- Upanga,Jogoo wlikuwa wakichuano na Pazi,katia mchezo huu Jogoo aliibuka na ushindi wa points 55/48 nakufanya muelekeo wa timu hizo kila moja imeshinda moja na kupoteza moja huku kila wakiwa wamebakiza mchezo mmoja. 
 Timu ya Jogoo Wakiwa katika picha ya pamoja  muda mchache kabla ya kukabilianana timu ya Pazi katika michuano ya Dume Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Zanaki,katika mchezo huo Jogoo aliibuka na ushindi wa Points 55/48.
Timu ya Pazi Wakiwa katika picha ya pamoja  muda mchache kabla ya kukabilianana timu ya Jogoo katika michuano ya Dume Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Zanaki,katika mchezo huo Pazi ilipoteza nakujikuta ikifungwa kwa Points 55/48.

No comments:

Post a Comment