Saturday, August 10, 2013

Michuano ya Vilabu Kanda ya Tano imemalizika jana kwa timu ya Urunani ya Burundi kutwa ubingwa bada ya kuivua timu ya Espoir ya Rwanda katika mchezo uliochezwa jana saa 11:00 jioni, huku timu ya Wanawake ya Eagle Wings ikiendelea kutete ubingwa wake kwa mara nyingine baada ya kuifunga timu ya USIU ya Kenya, Matoke ya Michezo yote ya Fainali yapo kwenye jedwali hapo chini.


DAY 6      (FINAL DAY)  ZONE V CLUB CHAMPIONSHIP-BUNJUMBURA,BURUNDI 05th -10th 2013
NO.
DATE
TIME
               TEAMS
GRP
HALF
FINAL
22
10 Aug
1100HRS
KCCA (UG)

LES GAZELLES (BUR)
W (3/4) PLACE
22 / 27
45 / 41
23
10 Aug
1300HRS
NEW STARS (BUR)
WORRIOR (UG)
M (3/4) PLACE
39 / 24
84 / 61
24
10 Aug
1500HRS
EAGLE WINGS (KEN)
USIU (KEN)
W - FINAL
27 / 23
67 / 62
25
10 Aug
1700HRS
ESPOIR (RW)
URUNANI (BUR)
M - FINAL
34 / 36
56 / 65









Baada ya Michuano ya Vilabu kanda ya tano kumalizika nchini Burundi hapo jana tarehe 10/08/2013, Commissioner wa FIBA Camilo Ussene alitoa msimamo wa timu zilizo shiriki kama zinavyo jionesha kwenye jedwali hapo chini.

FINAL CLASSIFICATION MEN’S                            FINAL CLASSIFICATION WOMEN
NO.
TEAMS
COUNTRY

NO.
TEAMS
COUNTRY
1
URUNANI
BURUNDI

1
EAGLE WINGS
KENYA
2
ESPOIR
RWANDA

2
USIU
KENYA
3
NEW STARS
BURUNDI

3
KCCA
UGANDA
 4
WORRIORS
UGANDA

4
LES GAZELLES
BUEUNDI
5
USIU
KENYA

5
BERCO STARS
BURUNDI
6
VIJANA
TANZANIA

6
DON BOSCO LIONESS
TANZANIA




7
APR
RWANDA

                                             ZONE V CLUB CHAMPION SHIP -AWARDS
NO.
AWARD
NAMES
CLUB
COUNTRY

1


BEST SCORERS
ARISTIDE MUGABE (M)
ESPOIR
RWANDA
EMMA NYAKWEBA (W)

USIU
KENYA





2
FAIR PLAY TEAMS
 RIHAM WARRIORS (M)

UGANDA
LES GAZELESS  (W)

BURUNDI





3
MVP
LANDRY NIYONKURU
URUNANI
BURUNDI
SILALEI SHANI
EAGLE WINGS
KENYA





No comments:

Post a Comment