Wednesday, August 27, 2014

Thunder trade Hasheem Thabeet to help avoid luxury tax

The Oklahoma City Thunder have traded center Hasheem Thabeet and cash to thePhiladelphia 76ers for a protected second-round draft pick in 2015 and a trade exception.
Sources briefed on the transaction said Tuesday that the Sixers will receive cash considerations to take on Thabeet's contract.

Thabeet, a 7-foot-3 defensive specialist from Tanzania, played in 66 games in 2012 and averaged nearly a block per contest. His playing time was reduced last season when first-round pick Steven Adams emerged as the backup center.
The Sixers, sources said, are expected to immediately waive the former No. 2 overall pick, while Oklahoma City will create a trade exception worth $1.25 million by shipping Thabeet out without taking back any salary.
The deal was announced on Tuesday. The Thunder have a year to use the trade exception.
Thabeet, the No. 2 pick in the 2009 draft out of UConn, has averaged 2.2 points and 2.7 rebounds per game over five seasons with the Memphis Grizzlies, Houston Rockets,Portland Trail Blazers and Thunder.
Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who currently plays for the Philadelphia 76ers of the NBA. At 7 ft 3 in, Thabeet is the second tallest active player in the NBA, behind Sim Bhullar.

Is there a place for Hasheem Thabeet in the NBA?
We’ll soon learn the answer to that question, but if there is, it sure isn’t in Oklahoma City.
The Thunder have Steven Adams, Mitch McGary and Kendrick Perkinsat center. And if they kept Thabeet past Aug. 31, they’d have to guarantee the final year and $1.25 million of his contract.
So, Oklahoma City could have simply waived Thabeet, increased its flexibility and maintained enough center depth.
Instead, the Thunder have gone a more complicated route.
2009 – 2011 Memphis Grizzlis
2010 – Dakota wizards (D- League)
2011 – 2012 –Houston Rocket
2011 – Rio Grande Valley Vipers ( D – league)
2012 – Portland Trial Blazers

2012 – 2014 Oklahoma City Thunder

Tuesday, August 26, 2014

Mashindano ya Afrika Mashariki kwa Shule za Sekondari bado yanaendelea kutimua vumbi katika viwanja vya Taifa Jijini Dar es salaam fuatilia mtiririko wa matukio ya michezo ya leo.


Coach Ronnie Owino wa anayefundisha shule ya secondari Upper Hill nchini Kenya akijaribu kutoa maelekezo kwa wachezaji wake nini wanapaswa kufanya wanapokuwa uwanja upande wa defensi timu hiyo ilishinda Pointi 74-49 dhidi ya ETS Kamenge. 
BASKETBALL  FIXTURE BOYS
NO.
GROUP
TIME
     TEAM                          VS                           
              TEAMS 
9
A
9:00AM
LUBIRI (UG)
LORD BADEN  (TZ)
10
A
9:00AM
UPPER HILL (KE)
ETS KAMENGE (BUR)
11
C
11:00AM
MANGU (KE)
ETG BUJUMBURA (BUR)
12
C
11:00AM
KIBULI S.S (UG)
KIZUKA (TZ)
13
B
2:00PM
KUAJOK BOYS (SS)
BUDDO S.S (SS)
14
B
2:00PM
APE RUGUNGA (RW)
FS KAMUSINGA (KE)





BASKETBALL  FIXTURE GIRLS
NO.
GROUP
TIME
        TEAM                    VS                           
              TEAMS 
12
A
9:00AM
LYCEE  TANGANYI (BUR)
KIBULI S.S (UG)
13
A
10:00AM
APE RUGUNGA (RW)
TIGOI GIRLS (KE)
14
A
11:00AM
MAKONGO (TZ)
SHIMBA HILLS (KE)
15
B
12:00PM
PARKLANDS ARYA (KE)
ST.MARY'S KITINDE (UG)
16
B
2:00PM
NABISUNSA GIRLS (UG)
RUMBEK MIXED (SS)
17
B
3:00PM
KIZUKA (TZ)
LORD BADEN (TZ)










Wachezaji wa Timu ya Upper Hill na mchezaji wa ETS Kamenge wakigombe Rebound katika mchezo uliochezwa leo asubuhi katika viwanja vya Taifa Jijini Dar es salaam na timu ya Upper Hill kuibuka na Ushindi wa kutosha kabisa.
Mchezaji wa Upper Hill Joshua Omolo akifuata mpira Rebound ya offence wakati mchezaji wa timu ya ETS Kamenge akijaribu kumzibiti asifunge kikapu mchezo ulimalizika kwa timu ya Upper Hill kutoka kifua mbele kwa Pointi 74 - 49 katika michuano ya Shule za sekondari Afrika Mashariki inayoendelea Uwanja wa Taifa.
Martine Mugambi mchezaji wa Upper Hill akiwa na mpira na kutafuta mbinu mbadala wa kupata Kikapu muhimu kwa timu yake walipokuwa wakicheza na ETS Kamenge katika viwanja vya Taifa Jijini Dar es salaam.

Monday, August 25, 2014

Michuano ya Afrika Mashariki kwa Shule za Sekondari imeanza rasmi jana Aug 24 2014 katika Viwanja vya Taifa Jijini Dar es salaam na kutarajiwa kumalizika Aug 31,2014 Mpira wa Kikapu ni moja ya Michezo inayochezwa katika Mashindano hayo


Mchezaji wa Shule ya Lord Baden Powell akijaribu kupangua Defensi ya  Shule ya Secondari  Ape Rugunga Kutoka Rwanda ambapo katika mchezo huo timu hiyo ya Rwanda ilishinda kwa 48 -35 katika Michuano ya Feassa inayoendelea Jijini Dar es salaam  katika Viwanja vya Taifa
 Mchezaji wa Lord Baden powell akijaribu kuona namna ya kutoa pasi kwa mchezaji mwenzake wakati mchezaji wa timu ya Ape Rugunga akiwa makini kwenye defensi Lord Baden wanawake walipoteza mchezo huo.

Wachezaji wa Ape Rugunga kutoka Rwanda wakicheza Box out wakati wakisubiri Rebond katika mchezo wa kwanza wa Michuano ya Shule za Secondari Afrika Mashariki (FEASSA) inayoendelea katika Viwanja vya Taifa Jijini Dar es salaam Shule ya Ape waliibuka na Ushindindi wa pointi 48 - 35
Coach Roinnie Owino wa Kenya akiwa pamoja na Coach Evarist Mapunda wa Tanzania wakifuatilia Michuano ya Shule za Secondari Afrika Mashariki katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambayo imeanza rasmi tarehe 24 August 2014  na kutarajiwa kumalizika tarehe 31 Aug 2014.
 Timu ya Shule ya Sekondari Tigoi kutoka nchini Kenya wakipewa maelekezo na kocha wao katika michezo inayoendelea ndani ya Viwanja vya Taifa jijini Dar es salaam timu hiyo ilipomenyana vilivyo na St Mary Kitende kutoka Uganda ambapo St Mary walishinda kwa 58- 28.

Mchezaji wa Timu ya Tigoi akijaribu kuwapita Defensi ya St.Mary Kitende katika Michuano ya Feassa inayoendelea katika Viwanja vya Taifa jijini Dar es salaam na kuudhuriwa na Mashabiki mbalimbali wa jiji la Dar es salaam michezo hiyo inatarajiwa kumalizika tarehe 31 Aug 2014

Baadhi ya Wachezaji wa Mpira wa Kikapu wa Jijini Dar es salaam Michael Kanyota na Himid Choka  wakifuatilia Michuano ya Mpira wa Kikapu kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki ambayo imeanza Rasmi Jumapili hii ya tarehe 24 Aug 2014 katika Viwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Friday, August 22, 2014

Baadhi ya Matukia yaliyo jiri katika siku ya Vijana Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika katika Viwanja vya Chuo Kikuu Jijini Dar es salaam.


Washindi wa Kwanza kwa Upande wa Wanaume Shule ya Secondari Lord Baden Powell ya Bagamoyo wakiwa katika picha ya Pamoja na Maafisa wa UNFPA na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Vijana  ambayo ipo chini ya  Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo katika Tamasha la siku ya Vijana Duniani .
Washindi wa Kwanza kwa Upande wa Wanawake timu ya DB Lioness wakiwa katika picha ya Pamoja na Maafisa wa UNFPA na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Vijana  ambayo ipo chini ya  Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo katika Tamasha la siku ya Vijana Duniani .

Mchezaji wa Timu ya Kizuka kutoka Morogoro akienda juu kwa ajili ya kufunga katika mchezo wa Tamasha la Vijana lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es salaam walipokutana na timu ya Segerea kutoka Tabata.
Mchezaji wa DB Lioness Rehema Silomba akijaribu kumzuhia mchezaji wa Magereza Queens katika Tamasha la Vijana lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es salaam timu ya DB Lioness walishinda Michezo miwili kati ya mitatu waliyotakiwa kucheza na kuwa Mabingwa.
 Mchezaji wa Timu ya Segerea Akijaribu kuchukua Rebond katika mchezo waliocheza dhidi ya Eagle ya Mbezi Beach katika Tamasha la siku ya Vijana Duniani ambalo liliadhimishwa katika Viwanja vya Chuo kikuu jijini Dar es salaam.

Mchezaji wa Timu  ya Lord Baden Powell ya Bagamoyo akijaribu kumpita Mchezaji wa Shule ya  Makongo  katika mchezo waliocheza  hivi karibuni  katika Tamasha la siku ya Vijana Duniani ambalo liliadhimishwa katika Viwanja vya Chuo kikuu jijini Dar es salaam

Mchezaji wa Timu  ya Segerea akienda lay -up na kufunga point mbili mbili muhimu kwa timu yake dhidi ya Eagle kutoka Mbezi Beach katika mchezo waliocheza  hivi karibuni  katika Tamasha la siku ya Vijana Duniani ambalo liliadhimishwa katika Viwanja vya Chuo kikuu jijini Dar es salaam.


Sunday, August 17, 2014

Tamasha la Siku ya Vijana Duniani limefana kwa staili ya aina yake katika Viwanja vya chuo kikuu Jijini Dar essalaam,kwa timu mbalimbali za Mpira wa Kikapu kupamba Tamasha hilo ambalo lilikuwa na msisimko wa haina yake,pamoja na Mpira wa kikapu ambao ulishirikisha timu za secondari kama Lord Baden Powell ya Bagamoyo ,Makongo, na Kizuka kutoka Morogoro, pia kwa Wanawake timu ya DB Lioness na Magereza Queens walichuana vikali, huku Vilabu vipya katika medani ya kikapu Segerea Basketball Club na Eagle Basketball club pia viliwakilisha ipasavyo, mbali na kikapu pia Vijana mbalimbali washindanda katika Sanaa ya kuchora, na huduma Muhimu kuhusu Vijana zilitolewa na wadau kama vile Amref,Umati,Marie Stopes,TAA Net na UNFPA wakiwa kama waratibu wakuu kwa ushirikiano Mkubwa na kampuni ya GRASSROOTS SPORTS AND EVENTS.



  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu Duniani UNFPA Dkt. Natalia Kanem akiongea na Vijana katika maadhimisho ya siku ya Vijana Kimataifa iliyo adhimishwa tarehe 16/08/2014 katika Viwanja vya Chuo Kikuu Dar es salaam ambapo wanamichezo wa Mpira wa kikapu walifana katika Tamasha hilo lililo beba ujumbe wa Afya ya Akili ni Muhimu (Mental Health Matters)
 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Vijana Mama Venerose Mtenga akiongea na Vijana ambao ni wanamichezo wa Mpira wa Kikapu waliokuwa wakiadhimisha siku ya Vijana Duniani katika Viwanja vya Chuo kikuu Jijini Dar es salaam tarehe 16/08/2014 Tamasha hilo lili bamba kwa timu mbalimbali kuonyesha uwezo wao.


 Wachezaji wa timu mbalimbali wakiwa wanasikiliza hotuba kutoka kwa viongozi wa UNFPA na Wizara ya Habari vijana Utamaduni na Michezo wakiwa tayari kuanza Tamasha hilo la aina yake  katika Viwanja vya Chuo kikuu jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Vijana Venerose Mtenga akifunga point mbili kuashiria kuanza kwa Tamasha hilo la Vijana ambalo lilifana kuliko maelezo huku kila timu ikijitoa katika kuadhimisha siku hiyo kwa burudani ya Michezo na Sanaa ya uchoraji.
 Viongozi na Maafisa wa UNFPA na UNDP pamoja na Mgeni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Segerea yenye maskani yake Tabata Segerea jijini Dar es salaam ni moja ya timu mpya iliyosajiliwa kwa ajili ya kushiriki ligi ya mkoa wa Dar  salaam.


 Viongozi na Maafisa wa UNFPA na UNDP pamoja na Mgeni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na Shule ya Secondari ya lord Baden Powell kutoka Mkoa wa Pwani Bagamoyo ni moja ya timu iliyoshiriki katika Tamasha hilo na kuibuka na medali ya dhahabu kama mshindi.


 Viongozi na Maafisa wa UNFPA na UNDP pamoja na Mgeni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na Shule ya Secondari ya Kizuka kutoka Mkoa wa Morogoro ni moja ya timu iliyoshiriki katika Tamasha hilo.
                 
                         
Viongozi na Maafisa wa UNFPA na UNDP pamoja na Mgeni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Eagle yenye maskani yake Mbezi beach jijini Dar es salaam ni moja ya timu mpya iliyosajiliwa kwa ajili ya kushiriki ligi ya mkoa wa Dar  salaam.

Viongozi na Maafisa wa UNFPA na UNDP pamoja na Mgeni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya DB Lioness yenye maskani yake Upanga  jijini Dar es salaam ni moja ya timu kongwe za Wanawake na ni timu inayotarajiwa kwenda Nchini Kenya kwenye Jiji la Mombasa kwa jili ya Mashindano ya Zone V.

Thursday, August 14, 2014

Tamasha la Kuadhimisha siku ya Vijana Duniani yenye kauli mbiu Afya ya Akili ni muhimu (Mental Health Matters) linatarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Chuo kikuu Dar es salaam, siku ya Jumamosi tarehe 16 August 2013,kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni, Timu mbalimbali zitashindana katika kuadhimisha siku hiyo, Tamasha hilo linaratibiwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa,fuatilia ratiba ya michezo hapo chini...





        TAMASHA LA AFYA YA AKILI (MENTAL HEALTH) 16TH AUGOST 2014
             RATIBA YA MPIRA WA KIKAPU – UDSM COMPLEX

NO
KUNDI A – WANAUME(MEN)
KUNDI B WANAWAKE(LADIES)
1
MAKONGO HIGH SCHOOL
DONBOSCO LIONESS
2
BADEN/P HIGH SCHOOL
TANZANIA PRISONS QUEENS
3
KIZUKA SEKONDARI SCHOOL

4
SEGEREA BASKETBALL CLUB

5
EAGLES BASKETBALL CLUB


 TIME
GAME
NAME OF TEAM’S
GENDER
WINNER
09:00HRS.
01
KIZUKA SEC VS MAKONGO HIGH/SCH
MEN

09:40HRS.
02
DONBOSCO/L VS TANZANIA/P
LADIES

09:50HRS.
03
EAGLES VS SEGEREA
MEN

10:30HRS.
04
BADEN/P VS MAKONGO HIGH/SCH
MEN

10:50HRS.
05
KIZUKA/SEC VS SEGEREA
MEN

11:30HRS.
06
EAGLES VS BADEN/P
MEN

11:40HRS.
07
TANZANIA PRISONS VS DB LIONESS
LADIES

12:10HRS.
08
MAKONGO VS SEGEREA
MEN

12:40HRS.
09
KIZUKA VS EAGLES
MEN

13:30HRS.

LUNCH BREAK FOR ALL


14:30HRS.
10
SEGEREA VS BADEN/P
MEN

15:10HRS.
11
DONBOSCO/L VS TZ PRISONS QUEENS
LADIES

15:50HRS.
12
MAKONGO HIGH/SCHL VS EAGLES
MEN

16:30:HRS.
13
KIZUKA/SEC/SCHL VS BADEN/P
MEN



END OF BONANZA