Thursday, July 18, 2013

Mabingwa wa wa kombe la Taifa ngazi ya Vilabu timu ya ABC pamoja na timu ya Wanawake ya Jeshi Stars ambao walishika nafasi ya pili ni moja kati ya Timu ambazo hazitaweza kushiriki michuano ya kanda ya Tano Afrika Club championship ambayo yatafanyika nchini Burundi kuanzia August 05 hadi 11


No comments:

Post a Comment