Thursday, July 18, 2013

Timu ya Wanawake wa Jeshi Stars Wakiwa katika moja ya mechi ya Club Bingwa Mjini Tanga mapema mwaka huu pia hawatashiriki katika Mashindano ya Vilabu kanda ya Tano yatakayo fanyika nchini Burundi kuanzia August 05 - 11


No comments:

Post a Comment