Wednesday, July 31, 2013

Taarifa Rasmi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Zone V Mr.Vitalis Gode, timu zitakazo shiriki kwenye mashindano ya kutafuta Bingwa wa Zone V ngazi ya vilabu mwaka 2013


 Zone V Club Championship - Burundi 2013
 Updated list of confirmed clubs
5th to 11th July 2013
 S/n
Country
Men
Women
1
Burundi
Urnani & New Star
Berco stars & Les Gazelles
2
Kenya
USIU
Eagle Wings & USIU
3
Rwanda
Espoir
 APR
4
Uganda
Warriors & Falcons
KCCA
5
Tanzania
Vijana
Donbosco

Total
7 Clubs
7 Clubs
  
Note that South Sudan (men)is allowed to participate as guest pending registration

Bingwa mtetezi wa Mashindano ya Club Bingwa Kanda ya Tano (ZONE V) kwa Wanaume ni timu ya Espoir kutoka nchini Rwanda, na kwa upande wa Wanawake ni timu ya Eagle Wings kutoka nchini Kenya. Mashindano haya kwa mwaka 2012 yalifanyika Kampala Nchini Uganda.

No comments:

Post a Comment