KAMATI YA MAANDALIZI YA TUKIO TAJWA HAPO JUU INAYOJUMUISHA TBF, BD, BBALL KITAA, MAMBO BASKETBALL, COACHES,COCACOLA UN- NOTHING BUT NET, NBA AFRICA NA DONBOSCO OSTERBAY, TUNAPENDA KUWAKARIBISHA WOTE KATIKA TUKIO HILI LA KIHISTORIA.
CLINIC ITAHUSISHA WATOTO 100 WENYE UMRI KATI YA MIAKA 14-18, KUTOKA KATIKA VILABU MBALIMBALI NA BAADHI YA MASHULE YA HAPA JIJINI DAR-ES-SALAAM, AMBAVYO NI:
MABIBO(5), MONTFORT(5), POLISI(5),STREET WARRIORS(5),CHUI(5),CHANG`OMBE(6),OUTSIDERS(5), VIJANA(7), CHANG`OMBE(7), AIRWING(5),TUSIIME(8),LORD BADEN(5),DONBOSCO UPANGA(7),JKT MGULANI(5), HEROS(5), ALIHASSANMWINYI(5) NA DONBOSCO OSTERBAY(11)
MAKOCHA NI:
SADJA AHMED, AGNELA SEMWAIKO(SAVIO), JEVERINO PEMBE(MABIBO),KABLOLA SHOMARI(VBC), MOHAMED MBWANA(CHANG`OMBE), WILLIAM MZIRAY(OILERS),ROBERT MANYERERE(UDSM OUTSIDERS)
WASIMAMIZI WA SHUGHULI NZIMA UWANJANI:
BAHATI MGUNDA (VBC) NA EVARIST MAPUNDA (PAZI)
WADAU WOTE WA MPIRA WA KIKAPU DAR-ES-SALAAM MNAKARIBISHWA.
No comments:
Post a Comment